Ugawaji wa zawadi na maonesho ya kitaaluma
Ugawaji wa zawadi ni tarehe 20 Juni. Asubuhi ni maonesho ya miradi ya madarasa. Ugawaji rasmi unaanza ukumbini saa 5:00 asubuhi.
Familia za wanafunzi wanaopokea zawadi zinakaribishwa kwa namna ya pekee, na wazazi wengine pia wanakaribishwa. Wanafunzi wavae sare kamili. Picha zichukuliwe baada ya sherehe, si wakati wa hotuba.